Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Wazo la kujenga ghorofa hili lilitoka kwenye video ya Beyonce.. Ona pichaz na video yenyewe !!

on

beyonce-skyscraper-1

Kampuni ya Elenberg Fraser ambao wanadili na kubuni ramani za majengo kutoka Australia wako mezani kukamilisha jengo lao jipya The Skyscraper litakalojengwa katikati ya Jiji la Melbourne.

beyonce-ghost-2015-bilboard-650-a

Mkurugenzi wa kampuni hiyo amesema wazo la kujenga jengo hilo lilipatikana kutoka kwenye video ya Beyonce ya wimbo wake wa Ghost, hivyo wakaamua kuchukua wazo la video hiyo na kulitupia kwenye ubunifu wa majengo.

beyonce-skyscraper-2

Jengo hilo la The Skyscraper linajengwa Melbourne litakua ni jengo refu lenye muundo wa aina wake kabisa na tofauti, lina urefu wa mita 226 kwenda juu, ndani kutakuwa na apartment pamoja na vyumba 160 vya hoteli.

beyonce-building

Hapa ninazo pichaz nyingine za mjengo huo nje na ndani.

ACP II

Beyonce-Inspired-Premiere-Tower_Elenberg-Fraser_dezeen_784_1

Beyonce-Inspired-Premiere-Tower_Elenberg-Fraser_dezeen_784_10

Kama hujawahi kuiona video ya Ghost kutoka kwa Beyonce, nimekusogezea video hiyo hapa chini.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments