Mwanaume mmoja adai kupona tatizo la msongo wa mawazo kwa kuoga maji baridi ya nyuzi joto 0.
Mitchell Bock, 30, alisema alianza mbinu ya kuacha kutegemea dawa za kupunguza…
Kenya:Idadi ya punda yaongezeka baada ya machinjio yake kufungwa.
Kulingana na shirika la Africa Network for Animal Welfare ,kati ya mwaka…
Sura ya Biblia iliyofichwa yagunduliwa tena baada ya miaka 1,750 iliyopita kwa mwanga wa UV.
Sura hiyo iliyofichwa ya maandishi ya Biblia ambayo inasemekana kuwa ya zamani…
Exclusive: Rona, mwanamke aliyekataa mshahara Mill.3, mjasiriamali, anamiliki kiwanda.
Anaitwa rona mjasiriamali anayetengeneza sabuni na products za ngozi ikiwemo mafuta, scrab…
Mwanaume mmoja atumia zaidi ya Mil.300 Kwenye Upasuaji wa kurefusha miguu kufikia inchi tano kupata mpenzi.
Moses Gibson, 41, wa ene la Minnesota anasema anatatizika kupata rafiki wa…
TALIBAN:Marufuku ya Wanawake wa Afghanistan kufanya kazi UN ni suala la ndani “uamuzi huu unapaswa kuheshimiwa na pande zote”.
Baadhi ya wanadiplomasia na maofisa wa misaada nchini Afghanistan na duniani kote…
Wanandoa wafariki baada ya kula Samaki wenye sumu aina ya Fugu bila kujua .
Ng Chuan Sing na mkewe, Lim Siew Guan, takriban katika miaka yao…
Mwanaharakati wa haki za wanawake ashambuliwa kwa tindikali.
Patricia Cardozo ni mkurugenzi wa NGO ya haki za wanawake iitwayo Plataforma…
Nyaraka za Pentagon zilizovuja zinaonyesha,Marekani haina matumaini Ukraine kumaliza haraka vita dhidi ya Urusi.
Nyaraka zilizovuja za Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) na Shirika…
Serikali ya Ujerumani yampa saa 48 balozi wa Chad kuondoka nchini humo.
Ujerumani imemtaka balozi wa Chad mjini Berlin kuondoka nchini humo ndani ya…