Mwanaharakati ahukumiwa miezi 3 jela kwa kukiuka marufuku ya mahakama.
Mwanaharakati wa Hong Kong Joshua Wong amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela…
Takriban watoto 500 wameuawa au kujeruhiwa nchini Ukraine,idadi halisi ni kubwa zaidi.
Takriban watoto 500 wameuawa nchini Ukraine tangu uvamizi wa Urusi, kulingana na…
Urusi: Mkosoaji wa Putin afungwa jela miaka 25.
Urusi imemfunga jela miaka 25, Kara-Murza ambaye ni mkosoaji wa rais Vladimir…
Maelfu waandamana kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha jamhuri ya Czech.
Takriban waandamanaji 70,000 siku ya jumapili waliandamana mjini Prague kulalamikia mfumuko wa…
Tume ya Umoja wa Afrika ‘ATMIS’ yaendesha mafunzo ya afya ya akili kwa wafanyakazi wake.
Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia ,(ATMIS) imesema Jumapili…
Iran: Wanaowahimiza wanawake kutovaa hijabu kuhukumiwa kifungo hadi miaka 10 jela.
Polisi ya Iran ilitangaza kuanza kutumika kwa hatua mpya za kudhibiti uvaaji…
Mhudumu afukuzwa kazi kwa kuchanganya damu yake kwenye kinywaji cha mteja wake.
Mhudumu mmoja amefukuzwa kazi kwenye mgahawa mmoja nchini Japani baada ya kudaiwa…
Burma: Jeshi kuwasamehe zaidi ya wafungwa 3,000 kwa ajili ya Mwaka Mpya
Serikali ya Burma imetangaza Leo kuachiliwa kwa wafungwa zaidi ya 3,000 kwa…
Mwanaume mmoja Avunja na kuingia kituo cha Polisi Kuoga.
Joseph Moulton, 36, alizunguka kituo cha Polisi cha Naples kwa takriban dakika…
TAMISEMI yaomba kuidhinishwa kwa shilingi Tril.9,Makadirio ya Mapato na Matumizi 2023/2024.
Leo April 14,2023 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa…