Ujerumani kuchangia dozi 100,000 za chanjo ya mpox barani Afrika
Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake…
Ufilipino inasema visa viwili vipya vya Mpox vyaripotiwa
Ufilipino imethibitisha maambukizo mengine mawili ya virusi vya aina ya clade 2,…
Jumla ya ekari 1,165 za mashamba ya bangi zayeketezwa na kilogramu 102 za mbegu za bangi zakamatwa Morogoro
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na…
DCP Nyambabe akabidhi bendera kwa askari wa kike wanaokwenda kushiriki mafunzo ya dunia nchini Marekani
Naibu kamishna wa Polisi Kutoka kitengo cha udhibiti Makosa yanayovuka Mipaka DCP…
Waasi wauwa abiria 23 na kuchoma magari katika mashambulio ya kikatili Pakistan
Watu wenye silaha wamewaua abiria 23 baada ya kuwatoa kwenye mabasi, magari,…
Ufaransa yamzuilia kwa muda Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram
Ufaransa iliongeza muda wa kuzuiliwa kwa Pavel Durov, mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un asimamia majaribio ya ndege zisizo na rubani
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alitazama jinsi "ndege mpya zisizo…
‘Tamaa ya kuharibu sekta yetu ya nishati itawagharimu Warusi kwa miundombinu yao’ -Ukraine
Milio ya milipuko ilisikika katikati mwa Kyiv siku ya Jumatatu asubuhi wakati…
Papa Francis atoa wito wa msaada zaidi kwa wagonjwa wa mpox
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani ametoa mwito kwa serikali na kampuni za…
Kenya yatuma wanajeshi wake DRC kwa ajili ya kulinda amani
Kenya imetuma wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujiunga na…