Marekani kutuma dola milioni 250 za silaha kwa Ukraine
Utawala wa Biden ulitangaza Jumanne kuwa utatuma nyongeza ya dola milioni 250…
Marekani yavuruga mtandao unaoongozwa na wasafirishaji haramu
FBI inachunguza zaidi ya wahamiaji kumi kutoka Uzbekistan na nchi zingine zinazoruhusiwa…
Umoja wa Mataifa watoa wito wa dola bilioni 1 kusaidia watu wanaokimbia Sudan
Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)…
AU kundoa askari wengine 3,000 kutoka Somalia
Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimesema kitawaondoa…
Ituri: 16 wauawa katika uvamizi wa watu wanaodaiwa kuwa wanamgambo wa CODECO
Watu 16 walifariki na wengine 12 kujeruhiwa wakati wa uvamizi, siku ya…
2 wawauawa baada ya shambulio la kombora katika mji wa Kyiv
“Shambulio la kombora” lililenga mji mkuu wa Ukraine, Kyiv Jumatano asubuhi, ambapo…
Gabon: Jeshi latangaza kutupilia mbali matokeo ya uchaguzi mkuu yaliompa ushindi rais Ali Bongo Ondimba.
Mamia ya wanajeshi wa Gabon, kupitia taarifa kwenye televisheni ya kitaifa, wametangaza…
Gabon: Ali Bongo achaguliwa tena kuwa rais
Akiwa madarakani kwa miaka 14, rais wa Gabon Ali Bongo Odimba amechaguliwa…
Maendeleo ya Kilimo Cha Mkonge nchini Tanzania..
Katika Maendeleo ya Kilimo Cha Mkonge nchini Tanzania inaelezwa kuwa zao la…
Shirika la WFP laipatia serikali ndege nyuki na vishkwambi 370
Habari ya Asubuhi na karibu kwenye matangazo yetu hii leo…. Waziri…