Marekani yaidhinisha uuzaji wa ndege za kivita na vifaa vingine vya kijeshi kwa Israel
Marekani siku ya Jumanne iliidhinisha uuzaji wa dola bilioni 20 za ndege…
Ukraine yaipiga Urusi kwa ndege zisizo na rubani na kusema inasonga mbele zaidi
Ukraine ilishambulia mikoa ya Urusi kwa makombora na ndege zisizo na rubani…
Waziri Mkuu wa Japan anasema atajiuzulu mwezi ujao
Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida alisema atajiuzulu mwezi ujao, kutokana na…
Mke wa rais wa zamani wa Zambia afariki dunia
Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Maureen Kakubo Mwanawasa amefariki dunia…
UN: Mafuriko yakumba zaidi ya watu 700,000 katika Afrika ya Kati, Magharibi
Zaidi ya watu 700,000 kote Afrika Magharibi na Kati wameathiriwa na mafuriko…
Mwanajeshi wa Marekani akiri kosa la kuuza taarifa za ulinzi kwa China
Mchambuzi wa masuala ya kijasusi wa Jeshi la Marekani alikiri hatia Jumanne…
Mpox yatangazwa kuwa dharura ya afya barani Afrika -CDC
Shirika la afya la Umoja wa Afrika siku ya Jumanne lilitangaza hali…
Mgodi wa GGM waanza kutumia umeme wa gridi badala ya mafuta
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua…
Usitishaji vita wa Gaza pekee ndio utakaochelewesha kulipiza kisasi – maafisa wa Iran
Makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza yaliyotokana na mazungumzo yanayotarajiwa wiki hii…
YouTuber wa Kihindi akamatwa baada ya video yake kuoesha anapika na kula tausi
Mwanadada aliyetajwa kuwa nyota wa mtandao wa kijamii wa India amekamatwa na…