Kampuni ya Elon Musk, Neuralink yapata kibali kupima vipandikizi vya ubongo wake kwa watu.
Kampuni ya Elon Musk Neuralink yenye kujihusisha na masuala ya sayansi ya…
Jukwaa la UONGOZI ‘Institute’ laomba viongozi kurekebisha hali ya kilimo kufungua biashara ndani ya Afrika.
Wajumbe katika mkutano wa Uongozi wa Bara la Afrika wamezitaka nchi za…
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe aandaa mbio za Mama wajawazito ‘MAMATHON’
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo ameandaa mbio za Mama wajawazito…
UDSM waanzisha programu ya kufundisha mtaala wa kilimo kusaidia vijana kujiajiri
Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kupitia Shule Kuu ya Biashara…
Amfungia mpenzi wake ndani kwa siku 3 kisa wivu wa mapenzi
Mwanamke aliyetajwa kuwa mwenye wivu kupita kiasi nchini Argentina alikamatwa hivi majuzi…
Mshukiwa wa mauaji ya halaiki ya Rwanda akamatwa Afrika kusini
Kayishema anadaiwa kupanga mauaji ya takriban wakimbizi 2,000 wa Kitutsi katika Kanisa…
Mradi wa uboreshaji wa bandari ya tanga wafikia 98.85%, tija yaanza kuonekana
Historia ya mafanikio imeandikwa katika Bandari ya Tanga ambapo meli kubwa sita…
#UNAAMBIWA:Madaktari walifanya uchunguzi kuchomoa kijiko kwenye tumbo la mgonjwa
Madaktari wa Shenzen, China mwaka 2019 walifanya uchunguzi wa dharura wa kutoa…
Mwimbaji mashuhuri Tina Turner afariki akiwa na umri wa miaka 83
Tina Turner, mwimbaji maarufu mzaliwa wa Marekani ambaye aliacha jamii ya wakulima,…
Wahisani kutoa dola bilioni 2.4 kusaidia pembe ya Afrika kukabiliana na njaa
Wahisani waliahidi jumla ya dola bilioni 2.4 Jumatano, zikiwemo ahadi mpya zatakriban…