AyoTV

Avril on air with Millard Ayo.. ndoa mwakani, kuokoka, Waimbaji wa kizazi kipya

on

Avril ni mwimbaji staa kutoka Kenya ambaye pamoja na hit singles nyingine, ‘chokoza’ aliyoifanya na Marya iliwafikia Watanzania wengi zaidi na ndani ya muda mfupi zaidi ya miaka mitatu iliyopita.

Avril alikuja Tanzania kufanya video na Director Hanscana kwenye single mpya ya ‘no stress’ ambayo amemshirikisha Ay, pia alitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya hii Interview ambayo aliongelea kuolewa mwakani, kuokoka, kufanya muziki wa gospel na mengine.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments