Top Stories

Aveva na Kaburu waachiwa kwa dhamana

on

Leo November 5, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana aliyekuwa Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange maarufu ‘Kaburu’.

Hii ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutupilia mbali mapingamizi ya upande wa Serikali waliopinga wasipewe dhamana.

ZITTO KABWE KUHUSU UTEUZI WA CAG MPYA, ADAI NI WA KUFICHA WIZI, UFISADI

Soma na hizi

Tupia Comments