Habari za Mastaa

Haya ndio maisha ya Avril baada ya kuondoka Ogopa Djs…(+Audio)

on

Mkali wa hits kadhaa kama single ya Mama, Chokoza, Nikimuona na nyingine… hits ambazo zilitoka kwenye mikono ya Ogopa Djs kutokea nchini Kenya Avril, Staa huyo alikuwa chini ya Ogopa Djs kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2008 hadi 2013…Kingine baada ya kuondoka Ogopa maisha yalikuaje?, Avril acha ashare na sisi kwenye Exclusive.

Bonyeza Play Avril

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments