AyoTV

VIDEO: ‘Mnyonge mnyongeni, Pangani tunatatizo la barabara na maji’-Mbunge Jumaa Aweso

on

Mkutano wa saba umeendela tena leo April 10, 2017 Wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

Kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuchangia ni mbunge wa Pangani,Tanga Jumaa Aweso ambae yeye kiliochake kilikuwa ni ahadi ya serikali kukarabati barabara ya Tanga-Pangani ambayo hadi sasa haijatekelezeka

BREAKING NEWS: Roma Mkatoliki asimulia walivyotekwa 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments