July 28 2016, Mahakama kuu kanda ya Tanga ilitangaza maamuzi rasmi ya kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso wa Chama cha mapinduzi (CCM) iliyofunguliwa na mbunge wa chama cha wananchi (CUF) Amina Mwidau.
Kwa mujibu wa Mahakama hiyo kupiti kwa jaji Patricia Fikirini imesema kuwa ushahidi uliotolewa na upande wa mlalamikaji haukuweza kujitosheleza na hivyo kuamuru Jumaa Aweso kuwa ndiye mbunge halali wa jimbo la Pangani.
ULIIKOSA HII WALICHOKIJIBU CCM BAADA YA CHADEMA KUTAKA MAANDAMANO