Burudani

Tazama show ya Nikki wa Pili, Madee, Shettah Pangani katika Aweso Cup (+video)

on

Wasanii mbalimbali wakiwemo wa Bongo fleva na Bongo movie walijitokeza katika ufunguzi wa Ligi ya Wilaya ya Pangani iitwayo AWESO CUP iliyodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Jumaa Aweso lengo likiwa ni kuhamasisha michezo na kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo Wilayani humo.

NANDY NA WILLY PAUL KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA ALBUM YAKE, NIWAPENZI..?

 

Soma na hizi

Tupia Comments