AyoTV

VIDEO: ‘Serikali inafanya jitihada lakini haina majibu sahihi’ –Jumaa Aweso

on

Kutokea Bungeni Dodoma, mkutano wa saba umeendelea tena ambapo katika kipindi cha maswali na majibu moja ya wabunge walisikika ni pamoja na Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso aliyehoji mkakati wa serikali kuboresha zao la mnazi kulingana na uhitaji wake duniani. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi William Ole Nasha.

VIDEO: Mwongozo uliotolewa Bungeni baada ya mauaji ya Askari 8 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments