AyoTV

video: Yaliyonifikia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani kitengo cha Uhamiaji

on

Wizara mbalimbali za Serikali hii ya awamu ya tano zinazidi kuingia kwenye headline, ikiwa ni siku kadhaa zimepita baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga kuagiza idara ya uhamiaji ifanyiwe mabadiliko makubwa ili kuboresha huduma na kuimarisha uadilifu katika vitengo vya idara hiyo nyeti.

Nimekuwekea Video hapa unaweza ukaitazama

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments