Videos

VideoMPYA: Awilo bado yupo…. kaachia hii aliyomshirikisha Tiwa Savage

on

Awilo Longomba sio jina jipya kwenye muziki Afrika, ni miongoni mwa Wakongwe kutokea Congo na ameamua kubadilika kutokana na wakati na bado anafanya muziki mpaka sasa, leo katuletea hii mpya aliyomshirikisha Tiwa Savage wa Nigeria.

EXCLUSIVE: Yvonne Chakachaka alivyomuongelea Alikiba, bonyeza play hapa chini kutazama mwanzo mwisho

VIDEO: Show ya Diamond iliyovunja rekodi Marekani, itazame kwenye hii video hapa chini

Tupia Comments