Wakati siku chache zikiwa zimesalia kumalizika kwa vikao vya bunge la 11, wabunge wameendelea kusimama bungeni kuwasilisha mahitaji ya wananchi wao majimboni. Nakukutanisha na mbunge wa Pangani Tanga Jumaa Aweso ambaye anataka kufahamu zaidi ya milioni 200 zilizotengwa katika jimbo lake hazijafika hadi sasa.
Aweso amesema…>>>’Mpaka sasa nionyeshe masikitiko yangu kutokana na changamoto ya maji katika jimbo la Pangani, fedha zilizokuwa zimeidhinishwa jumla ya shilingi milioni 200 hadi sasa hazijafika na wakati bajeti inafikia ukingoni‘ –Jumaa Aweso
Majibu yametolewa na Naibu Waziri wa ofisi ya Rais tamisemi Suleiman Jafo
ULIMISS HII CCTV ZA BUNGE ZIMEONYESHA TUKIO LA MBUNGE GOODLUCK KUVULIWA ‘BARAGHASHIA’
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE