Top Stories

Esther Bulaya kuhojiwa Polisi DSM

on

Mbunge wa Bunda Mjini, (CHADEMA), Esther Bulaya amesema anatarajia kwenda kuhojiwa katika kituo kikuu cha Polisi (Central) kama walivyohojiwa wabunge wengine wa chama hicho ambao tayari walifikishwa mahakamani.

Bulaya ametoa kauli hiyo akiwa mahakamani Kisutu akifuatilia kesi ya Mbunge mwenzie, John Heche ambaye yupo mahabusu akisubiri kusomewa mashtaka yake.

Mbunge CHADEMA, John Heche jinsi alivyofikishwa Mahakamani

Soma na hizi

Tupia Comments