Habari za Mastaa

Hali ya Mtoto wa Muna inavyozidi kuwagusa Mastaa Tunda wa Casto kaandika

on

Video Vixen Tunda ameamua kuandika kupitia ukurasa wa Instagram yake baada ya kuguswa na hali ya mtoto wa Muna Love ambaye anaumwa kwa sasa, Tunda ambaye ni mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds TV Casto Dickson ambaye pia ni baba wa mtoto huyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Tunda ameweka picha ya mtoto huyo na kuandika caption iliyosomeka….>>>“God is the number one healer by Faith receive your healing today🙏🏼 Getwellsoon P” maneno haya yakawagusa mashabiki kuona kuwa licha ya kuwa mpenzi wake Casto alizaa mtoto huyo na mwanamke mwingine ila yeye kama mwanamke ameguswa.

Soma na hizi

Tupia Comments