Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Maajabu > Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand
MaajabuMix

Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand

August 11, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Usemi kwamba ‘Elimu haina mwisho’ umedhihirika baada ya ajuza wa miaka 91 Kimlan Jinakul kuhitimu masomo yake ya Shahada katika Chuo cha Sukhothai Thammathirat, Thailand baada ya kuihangaikia kwa miaka 10.

Taarifa zinaeleza kuwa Kimlan Jinakul alikuwa anatamani kusoma na kufika elimu ya juu tangu akiwa mtoto lakini hakufanikiwa ambapo hata baada ya kuolewa na kuwa na familia aliamua kusomesha watoto wake kwanza hadi ngazi ya Chuo Kikuu na baada ya wao kuhitimu ndipo alipoamua naye kujiunga pia Chuo Kikuu.

Watoto wake wanne kati ya watano wana Shahada za Uzamili na mmoja amefanikiwa kupata PhD nchini Marekani.

Kimlan alikuwa na umri wa miaka 72 alipojiunga Chuo Kikuu lakini kufuatia kifo cha moja wa mabinti zake aliacha masomo kwa miaka kadha kabla ya kujiunga tena na Chuo akiwa na miaka 85 ili kuendelea na masomo.

Ulipitwa na hii? Msimamo wa CLOUDS baada ya Makonda & Ruge kukutana

You Might Also Like

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

July, 2022 hadi May, 2023 makosa makubwa ya jinai yameongezeka.

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

TAGGED: maajabu, TZA HABARI
Admin August 11, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Maamuzi mapya ya Mahakama Kuu maombi ya CUF wanaomuunga Maalim Seif
Next Article Rais mwingine aliyealikwa na Rais JPM kutembelea Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?