Top Stories

Jay Z aibukia kwenye bangi

on

Moja ya kuifahamu leo November 26, 2020 ni Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Jay-Z ametajwa kama ‘Afisa Mkuu mpya wa kampuni kubwa mpya ya bangi ya TPCO.

Kwa Marekani bangi ni halali katika majimbo kadhaa ikiwemo California, ambapo sasa ni biashara kubwa.

Jay-Z ataongoza mikakati ya kampuni ya TPCO na kuhamasisha wasanii wengine mashuhuri kukuza biashara hiyo.

BREAKING: DIEGO MARADONA AFARIKI DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments