AyoTV

Dakika 5 za kilichotokea Kenya nyuma ya video ya ‘Asante’ ya Ay @AyTanzania

on

Screen Shot 2014-05-10 at 6.38.16 PMNi single yake mpya kwenye TV & Radio kote Afrika ambayo imefanyika Kenya zaidi ya wiki tatu zilizopita ikiwa pia ndio video ya kwanza ya Ay akionekana kumshika msichana, ni mara ya kwanza toka aanze kutoa video za single yake.

Ay atapita hapa baadae kutazama maoni ya watu wake kuhusu video hii ya Asante pamoja na wimbo wenyewe kwa ujumla so kama una lolote la moyoni mwachie hapa na atalikuta.

Stori kama hizi ni halali yako kuzipata iwe usiku au mchana, ila kuhakikishi hupitwi jiunge na mimi twitter kwa kubonyeza HAPA, insta >> HAPA facebook HAPA ili niwe nakutumia kila zinaponifikia.

Tupia Comments