Habari za Mastaa

Davido leo ametoa video mpya ya dakika 4 na sekunde 11 kwa Aye

on

davidoTofauti na video ya Skelewu ambayo watu wengi hawakuipenda na kuichana waziwazi kwenye Youtube, mapenzi kwa hii video mpya yamekua makubwa kwa upande wa fans mpaka Davido mwenyewe amewashukuru fans kwa comment nzuri.

122Director wa video hii ndiyo yuleyule aliyefanya video ya number one remix ambayo Davido kashirikishwa na Diamond.

[youtube youtubeurl=”uZ-_HIoEBE8″ ][/youtube]

Tupia Comments