Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.
Hizi hapa chini ni zile kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 04 2017, unaweza kuzipitia moja baada ya nyingine
#NIPASHE Mahakimu 62 wajikuta wakifikishwa mahakamani kukabiliana na mashtaka mbalimbali ikiwemo rushwa, huku wengine 34 wakitimuliwa kazini pic.twitter.com/Ckk8XuUOCu
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Watumishi watatu Bukoba waliohusika na ukarabati wa shule ya Omumwani wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha pic.twitter.com/mFEq4sNCCt
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Waziri Nchemba kupeleka bungeni muswada wa dharura ili kutunga sheria ya kupiga marufuku baadhi ya jamii kutembea na silaha pic.twitter.com/RFORnGNmhb
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Ikiwa ni takribani miezi miwili tangu bodi ya mikopo kuanika majina ya wadaiwa sugu, wanufaika 44,000 wamejitokeza kuanza kulipa pic.twitter.com/7tGihwkiLO
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE UVCCM imesema imefurahishwa na kitendo cha Rais Magufuli kupigania maslahi ya wanyonge na kuzuia upandiahaji wa bei ya umeme nchini pic.twitter.com/WIBny90jAJ
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Hatimaye zaidi ya abiria 540 wa treni waliokuwa wamekwama kuendelea na safari Morogoro wamefanikiwa kuondoka pic.twitter.com/yRGSAnubxR
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Imeelezwa kuwa Chama cha CUF kimeshindwa kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kutokana na hali mbaya ya kifedha pic.twitter.com/Jt3E3X0jPU
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Serikali ya mapinduzi ya Z'bar imeridhia kutumia chaki zinazozalishwa mkoani Simiyu na kikundi cha vijana wa Maswa Maswa family pic.twitter.com/P6gMd6vbm1
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Polisi imemhoji Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu kwa shutuma kwamba alipokea zawadi za thamani kutoka kwa wafanyabiashara wawili pic.twitter.com/C9se7qdzDv
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Mkazi wa kijiji cha Karundi wilayani Nkasi amejiua kwa kujinyonga kwa kinachodaiwa ni baada ya kunyimwa kitoweo cha samaki na mkewe pic.twitter.com/2NCZJBgomO
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#NIPASHE Guardiola amesema anakaribia kufikia mwisho ktk kazi ya ukocha, huku akiweka wazi kuwa Man City inaweza ikawa timu yake ya mwisho pic.twitter.com/F6v5wIxCYr
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Dawa za kulevya tishio, baada ya kundi kubwa la vijana miaka 15-30 kujikuta likiteketea kutokana na matumizi ya dawa za kulevya pic.twitter.com/V5bfNWl9lb
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Watanzania wametahadharishwa na samaki wanaouzwa mitaani ambao wamevuliwa kwa milipuko ya baruti inayosababisha saratani pic.twitter.com/HeVDPRkE9t
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Polisi Mtwara inawashikilia vijana 16 kutoka kikundi kinachoitwa wazee wa mazuna kunasya, waliokuwa wakifanya mazoezi ya uhalifu pic.twitter.com/cez24jQX1n
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Polisi Tanga yanasa watumishi kwenye gari la halmashauri wakidaiwa kubeba mbao zilizokuwa zimetengwa kutengeneza madawati Lushoto pic.twitter.com/YWOX6ADRgD
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Bwawa la nyumba ya Mungu lililopo wilayani Mwanga K'njaro linakabiliwa na upungufu wa maji pic.twitter.com/pKkDcV42j4
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Imeelezwa kuwa kushuka kwa bei ya dhahabu katika soko la dunia kumesababisha hali ngumu kwa uwekezaji wa sekta ya madini nchini pic.twitter.com/ocfX7O2nXo
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Mkazi wa Bagamoyo apandishwa kizimbani mahakama ya K'ndoni akituhumiwa kutapeli mil 60 akijifanya kuwa ni mganga wa kienyeji pic.twitter.com/IVLfUK3QzL

#MTANZANIA Wafungwa wasiopungua 60 wameuawa ktk ghasia zilizozuka ktk gereza moja kaskazini magharibi mwa Brazil pic.twitter.com/hBnFyUZRHM
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MTANZANIA Mkurugenzi wa benchi la ufundi la timu ya Yanga, Pluijm amesema yupo tayari kuifundisha Taifa Stars kama TFF itamhitaji pic.twitter.com/7bvikh0Kj6
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#JamboLEO Trump apuuza madai ya Korea Kaskazini kutengeneza makombora ya kivita ya masafa marefu ili kuitungua Marekani asema haina ubavu pic.twitter.com/L4s9ft4Glj
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MWANANCHI Waziri Tizeba ktk mzozo na mfuko wa wakfu wa kuendeleza zao la korosho baada ya kutoa zabuni kwa kampuni inayodaiwa kukosa sifa pic.twitter.com/xoQAiaruuO
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MWANANCHI Imeelezwa kuwa siri ya JPM 'kuwabeba' wasomi wa ndani ni msimamo wake wa kutolipa mishahara mikubwa, kuwatia moyo wasomi wa ndani pic.twitter.com/bV6NDoeFAx
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MWANANCHI Rubani Mtanzania, Mohamed Nassor aliyekuwa akishikiliwa na waasi nchini Sudan Kusini ameachiwa huru bila masharti yoyote pic.twitter.com/XUnOjG47fe
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#MWANANCHI Imeelezwa kuwa hali za machinjio ya kuku DSM ni mbaya kutokana kutokidhi vigezo vya TFDA hivyo kuwa hatarini kufungiwa pic.twitter.com/X82cxQ8P0l
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
#DIMBA Baada ya kusitishwa mkataba wa aliyekuwa kocha mkuu wa taifa stars, Boniface Mkwasa, Mkwasa aikaribisha Azam kufanya naye mazungumzo pic.twitter.com/iPWADsOmRA
— millardayo (@millardayo) January 4, 2017
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI WA JANUARY 03 17 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE