AyoTV

Dakika 7 za mwigizaji Frank kwenye #AyoTV baada ya kupita kura za Ubunge (Video)

on

.

.

Frank ni mwigizaji wa longtime sana Tanzania kuanzia kuigiza maigizo ya TV mpaka kucheza movie za Kitanzania,alijitokeza kugombea Ubunge.

Ayo TV alimtafuta mwigizaji huyo  aeleze namna alivyoshinda kura za maoni kupitia jimbo la Segerea na jinsi mchakato ulivyokuwa tazama hapa akielezea.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

 

 

Tupia Comments