AyoTV

Video ya magoli ya mchezo wa Yanga Vs Friends Rangers FA Cup, Full Time 3-0

on

Jumapili ya January 24 michezo ya Kombe la FA kwa Tanzania iliendelea kuchezwa, baada ya Jumamosi ya January 23 kuchezwa michezo kadhaa ikiwemo mchezo wa Simba dhidi ya Burkinafaso katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro, Jumapili ya January 24 ilikuwa zamu ya  Yanga kushuka dimbani kucheza na Friends Rangers, na Yanga kuambulia ushindi wa goli 3-0. Hii ndio video ya magoli yote mtu wangu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments