AyoTV

VIDEO:’Makonda wewe ni shujaa ishu ya Dawa za Kulevya sio mchezo’ Mh: Temba

By

on

Ikiwa ni mwaka mmoja wa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda moja kati ya msanii kutoka Bongoflevani, Mh Temba ameongea kitu kilichomgusa kwenye mwaka mmoja wa Paul Makonda

Kwanza nianze kwa kumpongeza Makonda pia kitu ambacho kilinifurahisha kwenye huu mwaka mmoja wa RC Makonda ni kuona jinsi alivyokuwa anazunguka kwa wananchi kwa ajili ya kutafuta kero za Wananchi, pia kingine ni kuhusu hii ishu ya Dawa za Kulevya nampongeza sana Makonda wewe ni shujaa ishu ya Dawa za Kulevya si mchezo‘>>> Mh: Temba

Ulimiss hii ya  Mrisho Mpoto kuhusu wanaohoji vyeti vya Paul Makonda itazame hii video hapa chini…

Tupia Comments