AyoTV

Video: Mpango wa Paul Makonda kwenye magari mabovu aliyoyakuta Ofisini kwake

on

Chama cha Mafundi Magari Wilaya ya Kinondoni wameungana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda katika utengenezaji wa jumla ya magari 8 ambayo Mkuu wa Mkoa alipoingia katika ofisi yake ya Mkoa iliyopo Ilala Dar es salaam

Katibu Mkuu wa Chama cha Mafundi Magari kutoka katika Garage ya Tegeta ameyazungumza haya baada ya kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam paul Makonda>>>’Naitwa Abdallah Rashid ni Katibu Mkuu leo nimeongozana na muwekahazina wetu na tumekuja hapa leo tutachukua magari yote nane na nakuhakikishia Mkuu wa Mkoa ya kwamba baada ya siku mbili utayaona Haya magari ya kirudi hapa

UNAWEZA UKAUTAZAMA HUU MPANGO WA PAUL MAKONDA KWENYE MAGARI MABOVU ALIYOYAKUTA OFISINI KWAKE..

ULIKOSA HII YA WABUNGE WANAWAKE WA UKAWA WALIVYOTOKA NJE YA BUNGE WAKIKATAA KUITWA ‘BABY’ ? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments