AyoTV

Video: Kijana aliyetobolewa macho mawili ameelezea ilivyokuwa siku ya tukio

on

Leo October 2 2016 Ayo TV pamoja na millardayo.com ilifika nyumba kwa kijana ambaye alipoteza macho yake mawili baada ya kuchomwa na visu na mtu aliyejulikana kuwa ni kibaka maeneo ya Buguruni.

Sid Ally alikuwa akisimulia tukio hilo mbele ya  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul makonda…’Nilikuwa natoka kazini majiri ya saa nne usiku nikawa nimesimama maeneo ya Buguruni na nunua Kuku kwa ajili ya kupeleka nyumbani ndio alipokuja mtu kwa nyuma yangu na kuomba nimsaidie

Baada ya muda yule mtu akanichoma kisu kwenye bega langu nikawa napiga kelele watu wanisaidie lakini sikupata msaada pale watu wote walikuwa wananiangali tu‘>>>Said Ally

ULIMISS HII TAARIFA YA WAGENI WANOTARAJIWA KUJA KUMUONA RAIS MAGULI ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments