AyoTV

Video: Comment ya Diamond Platnumz kwenye penzi la harmonize na Wolper

on

Moja kati ya couples zinazoongelewa sana kwenye mitandao ya kijamii huwezi kuacha kulitaja penzi la mastaa wawili kutoka kiwanda cha Bongomovie (Jackline Wolper) na kutoka kiwanda Bongoflevani (Hamonizer) leo October 22 2016 Diamond Platnumz amble ni C.E.O wa lebel ya WCB ametoa comment yake kuhusu mapenzi ya msanii wake na mrembo Jackline Wolper.

Sisi kama WCB tuna simamia kazi za Hamonizer muziki wake na brand yake lakini ukija kwenye mahusiano yake anajisimamia mwenyewe, na huwezi kumkataza mtu kwa sababu kila binadamu anamaamuzi yake katika mahusiano sisi tunachoangalia ni kuwa anaheshimu muda wa kazi, lakini maswala ya mahusiano nadhani yeye anajua anachokifanya‘>>>>Diamond Platnumz

VIDEO: Ulikosa kuona Harmonize alivyompandisha kwenye stage Jackline Wolper na Mama yake Mtwara? tazama hii video hapa chini

VIDEO: Mapenzi motomoto Harmonize na Jackline Wolper, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments