Top Stories

AyoTV: Live kutokea Kisarawe DC Jokate Mwegelo azungumza na waandishi habari

on

NI FEB 3, 2021 ambapo muda huu Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo anazungumza mbele ya waandishi wa habari kuhusu hifadhi mpya iitwayo Ushoroba.

Unaweza ukatazama hapa akifunguka mengi kuhusu Ushoroba

 

UKALI WA DC JOKATE ALIVYOAGIZA WATUMISHI WA TANESCO KUPELEKWA RUMANDE ‘SINA HURUMA/WANAPENDA RUSHWA’

Soma na hizi

Tupia Comments