AyoTV

AyoTV GEITA: Muokoaji asimulia mbinu walizotumia kuokoa watu 15 waliofukiwa

on

Juzi Wachimbaji 15 walifukiwa kwenye mgodi wa RZ Geita kanda ya ziwa Tanzania na kukaa kwa zaidi ya siku 3 wakiwa wamefukiwa na kifusi ambapo wengi waliosikia habari hii tayari waliamini kwamba Wachimbaji hao wamefariki sababu muda waliokaa ndani ni mrefu lakini kumbe haikua hivyo.

Sasa baada ya Wachimbaji hao wote 15 kuokolewa leo, AyoTV na millardayo.com Geita zimempata muokoaji aliyeshiriki tangu zoezi linaanza, bonyeza play kwenye hii video hapa chini..

ULIPITWA? Bonyeza play hapa chini kusikia jinsi Wachimbaji 15 waliofukiwa na kifusi Mgodini walivyotuma ujumbe kwamba wako hai chini ya ardhi.

Soma na hizi

Tupia Comments