AyoTV

VIDEO: Jionee FIESTA 2016.. Alikiba, Vanessa, Yemi Alade, Tekno, Blue, Baraka na wengine

on

Tamasha la FIESTA 2016 limemalizika kwa show ya mwisho kufanyika Dar es salaam November 5 2016 ambapo Wasanii mbalimbali walionyesha uwezo wao pamoja na wageni watatu ambao ni Jose Chameleone wa Uganda, Yemi Alade na TEKNO wa Nigeria, TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUJIONEA

VIDEO: Perfomance ya Alikiba kwenye FIESTA 2016 Dar es salaam itazame kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments