AyoTV

#AyoTV Alichofanya T.I Airport Dsm, Ali Kiba anasemaje kuhusu kiti chake kufutwa vumbi? Rock City mall je?

on

Screen Shot 2014-10-22 at 12.37.10 PMAyoTV itakua ikikuletea stori mbalimbali ambazo zipo kwenye mchanganyiko, yani siasa michezo, burudani na mengine kila wakati ili kukuweka karibu na kila kinachoendelea.

Stori za AyoTV leo ziko tatu ambazo ni alichofanya uwanja wa ndege rapper wa Marekani T.I wakati akiondoka Tanzania, maneno ya Ali Kiba baada ya kurudi kwenye muziki kiti chake kimefutwa vumbi kwa asilimia ngapi? lakini pia Mwanza inaingia kwenye headlines za ‘Mlimani City’ yao…. umeiona? bonyeza play kwenye hii video hapa chini ujionee mtu wangu

Unataka kuwa karibu nikusogezee kila ninachokipata? ungana na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram Facebook

Tupia Comments