AyoTV

Video ya magoli Mtibwa Sugar vs Azam FC na Mtibwa walivyombadilikia refa

on

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 2016 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, mpaka mechi inaisha goli zilikua 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli ambapo pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lakini likakataliwa na muamuzi, unaweza kutazama hii video hapa chini ujionee..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments