AyoTV

Dakika 8 za Nikki wa II akiongea kuhusu Lord Eyez on AyoTV

on

Screen Shot 2014-03-05 at 10.18.23 AMNi stori ambayo imeanza kusambaa toka March 4 2014 kwamba kampuni ya WEUSI ambayo Wanachama wake ni Joh Makini, Nikki wa II, G Nako, Bonta na Lord Eyez, imemsimamisha kazi Mwanachama mwenzao ambae ni Lord Eyez kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kukosa nidhamu.

AyoTV imepata nafasi ya kumuhoji msemaji Nikki wa II kuhusu hii ishu, mtazame hapa chini..

Tupia Comments