Habari za Mastaa

Video ya MkasiTV mwanzo mwisho Ay alipokwenda kuzungumza na TCRA

on

MkasiTV imepata Exclusive video ya kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa Ay kwenda kukutana na viongozi wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA huku ishu pekee iliyojadiliwa ni swala la video ya wimbo wake wa ‘zigo remix’ kutakiwa kuonyeshwa kwenye TV za Tanzania kuanzia saa 3 usiku na kuendelea.

Taarifa zilizotoka kabla zilionyesha TCRA kutaka video hiyo kuonyeshwa kuanzia saa tatu usiku mpaka saa kumi na moja alfajiri sababu imeona kuna picha zinazoonekana na haifai kuchezwa wakati ambao Watoto wanatazama TV, sasa walichojadili kiko kwenye hii video ya MKASI TV hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments