AyoTV

VIDEO: Goli 4-0 za Azam FC dhidi ya Yanga January 7 2017

on

January 7 2017 mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam FC Kombe la Mapinduzi ulichezwa katika uwanja wa Amaan, huo ulikuwa ni mchezo wa mwisho wa Kundi B, Azam FC ilifanikiwa kuifunga Yanga goli 4-0, magoli yakifungwa na John Bocco dakika ya 2, Yahaya Mohamed dakika ya 54, Joseph Mahundi dakika ya 80 na Enock Atta dakika ya 85.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments