Michezo

Azam FC wajihami, wamuongezea mkataba Nado

on

Azam FC wamemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wao Iddi Suleiman Nado utakaomfanya asalia hadi 2024, Nado alijiunga na Azam FC msimu uliopita akitokea Mbeya City.

Ndani ya msimu wa 2020/21 Nado amehusika katika upatikanaji wa magoli 12, akifunga magoli 7 na akitoa assist 5.

Nado amekuwa miongoni mwa wachezaji wenye mchango mkubwa kwa Azam FC, hivyo wameamua kumuongezea kukwepa vilabu vinavyonyatia saini ya mchezaji huyo.

Soma na hizi

Tupia Comments