Michezo

Azam FC yamuodoa Kocha Iddi Cheche na Jafar Iddi

on

Club ya Azam FC imetangaza rasmi kuachana na aliyekuwa kocha wao Msaidizi Iddi Cheche na nafasi yake kuchukuliwa na Vivier Bahati.

Pamoja na maamuzi hayo Azam FC pia imemuondoa Jafar Iddi katika nafasi ya afisa habari wa timu na kutangaza kuwa itampangia majukumu mengine katika kampuni, sababu rasmi za mabadiliko hazijatajwa.

Soma na hizi

Tupia Comments