Michezo

Baada ya Didier Kavumbagu huyu ndie mchezaji mwingine aliyesaini Azam

on

sportsTimu ya Azam bado inaendelea na usajili wake wa wachezaji ambapo baada ya Didier Kavumbagu aliyekua akiichezea Yanga kupewa mkataba wa mwaka mmoja, sasa wamemuongeza mchezaji mwingine kikosini Azam FC.

IMG-20140430-WA0003Frank Domayo ndio kiungo mpya aliyesainiwa na Azam Fc kwa mkataba wa miaka miwili na kujiunga na mabingwa wapya wa Tanzania Bara.

Picha:Bin zubery.

 

Tupia Comments