Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bado siku 15 dirisha la usajili lifungwe, Azam FC wamefunga usajili wao kwa kunasa saini ya staa huyu ….
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Bado siku 15 dirisha la usajili lifungwe, Azam FC wamefunga usajili wao kwa kunasa saini ya staa huyu ….
Sports

Bado siku 15 dirisha la usajili lifungwe, Azam FC wamefunga usajili wao kwa kunasa saini ya staa huyu ….

November 30, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Headlines za usajili zinazidi kuchukua nafasi kwa mwezi November hususani katika kipindi hiki cha usajili cha dirisha dogo, ikiwa zimesalia sio zaidi ya siku 15 ili iweze kufikia December 15 dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania lifungwe, uongozi wa klabu ya Azam FC umethibitisha rasmi kumsajili golikipa mkongwe aliyeachwa na Simba Ivo Mapunda.

November 30 Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Azam FC  Saad Kawemba amethibitisha kusajiliwa kwa Ivo Mapunda, baada ya kufanya mazoezi na klabu yao kwa kipindi cha miezi mitatu na kocha wao muingereza Stewart Hall kuvutiwa na nidhamu na uwezo wa golikipa huyo.

0

“Ivo aliomba kufanya mazoezi na Azam FC ili ajiweke sawa na kocha alikubali lakini nidhamu yake, uwezo wake na ushirikiano wake na wachezaji wenzake umemvutia kocha, hivyo kocha akaomba aongezewe golikipa wa tatu mwenye uzoefu, ndio tukamsajili Ivo ambaye mkataba wake hauzidi mwaka kwani ana mipango yake na sasa tumefunga usajili wa dirisha dogo” >>> Saad Kawemba

IVO

Kufuatia kusajiliwa kwa Ivo Mapunda, Azam FC inakuwa na magolikipa watatu Aishi Manula, Mwadini Aly na Ivo Mapunda aliyejiunga rasmi wiki hii. Ivo Mapunda  aliachwa na Simba mwanzoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu soka Tanzania bara baada ya uongozi wa klabu Simba kuridhia kuwaacha wachezaji wawili Ivo pamoja na mshambuliaji wa Stand United Elias Maguli, hivyo Maguli aliwahi kupata timu mapema ila Ivo alikuwa nje ya uwanja.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Pep Guardiola awaonya Manchester City dhidi ya mchezo wao jumamosi hii

FA CUP: Haaland hana hofu kwa Man Utd, – Varane

Mashabiki wa soka nchini china kulipa zaidi ya Million 1 kumuona Messi

Rais wa FIFA Gianni Infantino aipongeza Young Africans ,ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/23

Rama Mwelondo TZA November 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ripoti kutoka mahakamani Nigeria kuhusu kesi ya Mchungaji T B Joshua…
Next Article Video ya Tanzania inayoendelea kushika chati Top 10 ya Trace TV.. (+VIDEOS)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?