Michezo

Baada ya stori za Kipre Tchetche kwenda Yanga, Azam FC wamesema hivi

on

mg 6Karibia magazeti yote ya michezo leo hii yameripoti taarifa za mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast anayekipiga Azam FC kuwa mbioni kwenda Yanga taarifa ambazo zilijibiwa saa chache na Azam FC kupitia Facebook baada ya magazeti kutoka.

azam copyStori kama hizi ni halali yako zisikupite… niko tayari kukutumia kwenye twitter instagram na facebook, jiunge na mimi kwa kubonyeza HAPA na >> INSTA na FB

Tupia Comments