AyoTV

FULL VIDEO: Wabunge walivyopitisha azimio la kuwaita bungeni Makonda na Mnyeti

on

Moja ya stori kubwa kutokea Bungeni Dodoma jana February 8 2017 ni maamuzi ya Wabunge kupiga kura za maazimio ya kuwaita kwenye kamata ya maadili ya Bunge Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti kwa madai ya kutoa lugha za kulidhalilisha Bunge.

Hapa nimekusogezea full video mjadala ulivyoanza hadi kuhitimishwa kwa wabunge kupiga kura za NDIO…

VIDEO BUNGENI: Zitto, Ester Bulaya na Waitara kuhusu kauli za RC Makonda 

Soma na hizi

Tupia Comments