AyoTV

Video ya magoli ya Azam FC vs Simba Dec 12 2015! Full Time 2-2

on

December 12 2015 ilikuwa siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa soka la bongo, kwani ndio siku ambayo ulipigwa ule mchezo wa Azam FC dhidi ya Simba uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Hadi dakika 90 zinamalizika Azam FC 2 – 2 Simba  hivyo kila timu iliambulia point moja. Unaweza kutazama video ya magoli ya mchezo huo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments