AyoTV

VIDEO: Azam FC walikipiga na Mtibwa Sugar, tazama goli la ushindi

on

April 13 2016 Azam FC walicheza dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Manungu Turiani kufanikiwaekichkuwafunga wenyeji wao  goli 1-0. Goli la Azam FC lilifungwa na nahodha John Bocco kwa mkwaju wa penati. Jikumbushe kwa kutazama goli lao hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIDEO YA MAGOLI YA MECHI YA AZAM FC VS ESPERANCE, FULL TIME 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments