AyoTV

“Huu ni uhujumu uchumi, Wote tutawachukulia hatua” –Naibu Waiziri Mwanjelwa (+Video)

on

Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa alisimama Bungeni Dodoma February 2, 2017 ambapo alilieleza Bunge kuhusu hatua zitakazochukuliwa kwa wafanyabiashara wa korosho ambao wamekuwa wakichanganya na mawe huku wakijua ni kosa la kuhujumu uchumi wa nchi.

MAGAZETI LIVE:Familia yakuna kichwa mazishi ya Kingunge, Deni la Taifa lazidi kupaa

Soma na hizi

Tupia Comments