Habari za Mastaa

B Classic 006 akiwa na Marioo wametuletea video mpya “Pisi Kali”

on

 

Mkali kutokea Kenya, B Classic 006 ambae time hii anatusogezea video mpya ya wimbo wake aliyomshirikisha msanii wa Bongo Fleva, Marioo uitwao Pisi Kali.Unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

 

JEURI YA PESA.. JAMAA ANALIPWA ZAIDI YA MILIONI 12 KWA SIKU KUMSHIKIA MWAMVULI STAA HUYU WA MAREKANI

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments