Top Stories

Maagizo sita aliyoyatoa RC Mghwira kwa Wakuu wa Wilaya katika Mkoa wake

on

January 17, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mpango wa kijani uliofanyika katika siku ya mazingira katika Wilaya ya Same, utakaowezesha kupandwa kwa  miti zaidi ya milion moja kwa mwaka ambapo tayari imepandwa miti elfu moja katika kutekeleza agizo la Makamu wa Rais.

RC Mghwira ametoa maagizo sita kwa Wakuu wa Wilaya zote za mkoa wake kuhakikisha wanapanda miti katika Wilaya zao pamoja na kupiga marufuku uchomaji wa mkaa na badala yake wahimize utalii wa ndani kwa kuwa wameshindwa kutangaza hifadhi ya Mkomazi.

Bonyeza PLAY kupata taarifa kamili..

Mtoto wa miaka 10 anaeendesha Mtumbwi Ziwani Kipili TZ

Soma na hizi

Tupia Comments