AyoTV

FULL VIDEO: Roma Mkatoliki asimulia kila kitu walivyotekwa

on

Msanii Roma Mkatoliki amejitokeza mbele ya Waandishi wa habari leo April 10 2017 akiwa na wenzake ambao walitekwa na watu wasiojulikana akiwa studio za TONGWE RECORDS, hii video hapa chini ina simulizi yote aliyoyasema Roma.

FULL VIDEO: Bungeni Dodoma, Wabunge Hussein Bashe na Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kuhusu Watu mbalimbali wa Tanzania kutekwa, tazama hii video hapa chini ndio ina kila kitu

Soma na hizi

Tupia Comments